Hakika sasa unakufuru. Mimi nimepitia Quran yote kwa maana ya Sura zote 114 na aya zote 6236, nabii Eissa ametajwa mara 19 tu na mara zote wamesema Eisa Bin mariam na hata ukipita kwenye tafsiri mbali wamemwita Mesiah son of Mariam.
Hakuna Neno kristo. labda Hiyo tafsiri ni zenu kanisani kuhalalisha hilo neno Mpakwa mafuta.