Wew usiosherehekea tuoneshe mafanikio yakoKama wewe mwanaume na bado unasherehekea siku ya wanaume na maujinga mengine jipige kifua na jisemee kuwa mimi ni mjinga na stafanikiwa kamwe.
Thank so much i like it ๐๐ mwasalipa sanaa
Niltaka nishangae Ushoga usitajwe.Wanaume imara, familia imara, jamii imara na taifa imara
Mwenyezi Mungu awajalie wanaume wote wanaokuwa, wanaozaliwa na watakaozaliwa wawe vichwa na viongozi katika kila jambo.
Wanaume mkiamua kusimama kwenye nafasi zenu jamii itapona. Hatutakuwa na mashoga, wasagaji wala marioo
Tunawaamini na kuwaheshimu sana