Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
mambo rafiki wa damu?Basi gfsonwin nimejitahidi kuperuzi jina langu sikuliona kidogo nitoke nduki , lkn nilipoangalia mwisho nikaona
" NA WENGINE WOOOOOOOOOTEEEEEEEEEEE KARIBUNI MTUPIEMO SALAMU ZA MARAFIKI". Asante sana namie nawasalimia wana MMU wote Mungu atubariki sana na ninawatakia weekend njema.
Nashukuru kwa salamu,
Zilizofurika utamu,
Na kamwe haziishi hamu.
Last edited by a moderator: