Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

Asante, but NO THANKS hii Ijumaaa imenikalia vibaya kabisa.......daaaaamn

TGIF anyways

Kuna mtu kanionea Smiles?:coffee:

habari zenu wajameni...

mi si n'kajua jana ijumaa bana....

nilijitundikiaje madrip sasa......!we!we!

yani hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa......

nalia na kahawa tu

tafuta supu ya pweza au ngisi ,shurti iwe ya moto limao na pilipili kichaa kwa wingi ,
Ushauri nasaa huu
 
Wapenzi nawatakia Ijumaa njema na weekend yote kwa ujumla nadhani itakuwa njema sana hasa nikiangalia ndio mwisho wa mwezi wenyewe kwa wale wenzangu walio katika ajira na wale mabiziness man /women ndo mnafanya monthly stock taking..
1.Msisahau family zenu mkazamia Bar na kurudi home mifuko tupu.
2.Msiache kina Eliza wakatumia feza mpaka mifuko ikakung'utwa
3.Kunyweni kwa afya na si kwa mashindano
5.Make sure watoto wanafurahia weekend na baba na mama
6.Wale ma Infiiiiiii ..kumbukeni kutumia Protection lile janga likiingia ndo limeteketeza family na kuacha watoto wanateseka
7.Tafadhari tusiache kutoa zaka Maana tutakuwa tunaomba mungu atupe mafanikio na tunayapata lakini sifa na utukufu tunashindwa kurudisha kwake

23.gif

Love u all

FL1 hapo kwenye red umenikumbusha asubuhi wakati nawaandaa watoto kwenda shule, one of my sons akanikumbusha "mum, today is Friday; will you come back early from the office so that we go to Mary Brown?" Nilichoka!
Kwa hiyo hapa nina deni mwenzenu
 
yes dear nitajitahi kufanya yote niliwaambia ,usihofu juu ya mie

:coffee::twitch::popcorn:
 
FL1 hapo kwenye red umenikumbusha asubuhi wakati nawaandaa watoto kwenda shule, one of my sons akanikumbusha "mum, today is Friday; will you come back early from the office so that we go to Mary Brown?" Nilichoka!
Kwa hiyo hapa nina deni mwenzenu

Hapa Mama lazima utimize ombi la mtoto , unajua watoto ni lulu na furaha moyoni kama mungu akikujalia kuwa nao
utatamani wawe ubavuni mwako 24 hours a day.
 
Rafiki...Mary Brown ndio? Hebu nielekeze tunaweza anzisha urafiki wa watoto wetu pia.
 
Hapa Mama lazima utimize ombi la mtoto , unajua watoto ni lulu na furaha moyoni kama mungu akikujalia kuwa nao
utatamani wawe ubavuni mwako 24 hours a day.

Upo sahihi my dear, yaani hapa ratiba zangu itabidi zipangiliwe kiasi kwamba jioni iwe wazi kwa ajili yao..................... Kwa kweli wanafurahisha sana
 
.....
7.Tafadhari tusiache kutoa zaka Maana tutakuwa tunaomba mungu atupe mafanikio na tunayapata lakini sifa na utukufu tunashindwa kurudisha kwake

23.gif

Love u all

FL;
Asante kwa kunikumbusha eneo hili nimekuwa sifanyi vizuri ingawa wenye shida nawasaidia sana.

Uwe na week end njema pia
 
Kha! kumbe leo Furahi day!! Asanteh Shosti. Ngoja nitoe kabisa order ya K.moto pale Didis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom