Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Pole mkuu..Nini kimekutokea mpaka baba anazingua hivyoSiku ya baba Dunian" Hongereni wenye ma baba sijawahi hata kula mboga aliyonunua baba " Lov u en hate u papaaaa
Ucjal mkuu maisha ni ya Ajabu sanaPole mkuu..Nini kimekutokea mpaka baba anazingua hivyo
Yeah yeah well saidPole mkuu..Nini kimekutokea mpaka baba anazingua hivyo
Kula mboga aliyonunua baba is not a big deal. At some point kwenye maisha yangu ilinitokea hiyo tena sio masuala ya kula tu hata issue za kusoma lakini mpaka sasa siwezi kumlaumu baba akati mimi bado sijawa baba wala sina familia. Kuna changamoto kubwa sana zinawakuta wazee wetu na sio kwamba eti alikuwa anaamua tu kutokuhudumia familia. Kulifaham hilo lazima kwanza uje kuwa na familia. Ila for now be patient bro.Siku ya baba Dunian" Hongereni wenye ma baba sijawahi hata kula mboga aliyonunua baba " Lov u en hate u papaaaa
Anacho maanisha baba alikataa majukumu ya ubaba juu yake kwahyo hata mboga y mchicha 200 ilimshinda / hakuitoa.Kula mboga aliyonunua baba is not a big deal. At some point kwenye maisha yangu ilinitokea hiyo tena sio masuala ya kula tu hata issue za kusoma lakini mpaka sasa siwezi kumlaumu baba akati mimi bado sijawa baba wala sina familia. Kuna changamoto kubwa sana zinawakuta wazee wetu na sio kwamba eti alikuwa anaamua tu kutokuhudumia familia. Kulifaham hilo lazima kwanza uje kuwa na familia. Ila for now be patient bro.
RIP baba..Sote tunaelekea huko mkuu. Enzi mema yake maisha yaendeleeTangu nijielewe kila mwaka siku kama ya leo ilikuwa ni lazima nitoke nae tunapiga story mbili tatu kuhusu maisha lakini mwaka huu hayupo tena RIP baba yangu kipenzi nilikupenda sana na ninakukosa sana.
Amen.RIP baba..Sote tunaelekea huko mkuu. Enzi mema yake maisha yaendelee