Happy Fathers' Day From Call Me J

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,420
7,718
Ingefaa leo iwe siku maalum kwa Yule Bwana kujimwaya mwaya na baba yake humo sosho mediani kama walivyofanya wengi. Hivi hamna popote mzee Albert Bashite amewekwa na maneno "Happy Fathers' Day" kuandikwa?

NB.. natumai nipo Jukwaa husika na povu la cocochanel silitaki!
 
Anamwongelea Albati bashite wa kwa Daudi
Halafu kasema yupo jukwaa *hisika*kwahiyo kama ni povu we utoe tuuu
Mkuu ikikuwa nataka kuandika "husika" ila kwa kuhisi hisia za mtagiwa zitakavyokuwa ikabidi u iwe i.
 
Back
Top Bottom