Happy Familly!!!

watoto wote style ya kulala moja?
hivi why watoto wadogo wanalala wakiwa hawanyooshi miguu,...angalia tu wanalala kama wamepiga magoti
 
watoto wote style ya kulala moja?
hivi why watoto wadogo wanalala wakiwa hawanyooshi miguu,...angalia tu wanalala kama wamepiga magoti

nahisi hiyo ndo best style kwao,

maana nasikia ukimlaza mtoto hivo anaweza kulala kwa mda mrefu pia
 
hapa inabidi kufungua nursery school yako ya nyumbani kupunguza gharama
 
Ha ha ha!! yeye alikuwa akitamani wakiwa wadoncho hivyo hivyo...

Ila kama anataka hata hawa wakubwa basi sawaaa...

Mzima weye lakini?

Miye mzima best,U hali gani nawe?
Nimeipenda familia yako
 
Naendelea salama wa salmini...

Uje basi kututembelea siku moja panapo majaaliwa

Inshaallah! Nitatoa taarifa mapema ili mnunue chumvi kwa ajili ya wali wa mgeni lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…