Jamani asanteni sana kwa ushirikiano wenu,nawatakia sikukuu njema ,iwe ya amani,mafanikio na hasa kuzingatia yale yote memo tunayotakiwa kuyafanya na hasa katika kipindi hichi cha mwisho wa kwaresma,mungu wetu ni mwema maana ni mwingi wa kusamehe na kusahau,hiyo basi tumuamini yyte tu maana yy si binadam hata aseme uongo,kwa wale walioshidwa kufunga basi jpo tujaribu kwa kesho tu na pia tusisahau mlo wa kesho.
Nawatakia sikukuu njema mungu awabariki na awazidishie pale mtakapopunguza kwa jili ya sikukuu na mahitaji mengine,tusinywe sana na kusahau utu wetu.nawapenda woteeeeeeeee.