Happy Boxing Day With Love πŸ’– From Us......

Let say A, A for Apple...

Let say B, B for Book

Let say C, C for Cat

Let say D, D for Dadiii (my Mahabati Tashtiti mfunga pingili za Mahaba ya Kasinde [emoji7]).

Bila shaka k sie n mnene kidogo
 
Kasie ni yupi sasa? ndio mpaka tufanye forensic investigation ila kuna wanaume wenzetu wanafaidi humu duniani. Boxing day njema
 
Kasie ni yupi sasa? ndio mpaka tufanye forensic investigation ila kuna wanaume wenzetu wanafaidi humu duniani. Boxing day njema

Forensic investigation inahitajika aahahahahaaa

Likewise, Boxing Day njema na kwako pia.
 
Hapana sikumbuki kutupia selfie kule...

Kama ni mdau wa nyuzi za Kasie huwa naweka mara nyingi taswira yangu na ya dash dash wangu πŸ˜€.

Mkuu ujue kuna tofauti ndogo sana kati ya Kung-Fu na Lugha ya ishara wanayotumia viziwi.

Picha ikitumika kama mfano wa kufundishia hurahisisha hilo zoezi.. Nitafuatilia
 
Mkuu ujue kuna tofauti ndogo sana kati ya Kung-Fu na Lugha ya ishara wanayotumia viziwi.

Picha ikitumika kama mfano wa kufundishia hurahisisha hilo zoezi.. Nitafuatilia

Aahahahahaha nimependa tafsiri yako.

Nikutakie ufuatiliaji mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…