Hajui hiloohajui kama tunaweza kumtoa
Sibaki hata kidogoooShuni tehteh
Shemeji bhn ubaki
Teh teh...Sibaki hata kidogooo
Duh kumbe kweli Leo ni birthday ya mkemia mkuu??
mpaka nimeingia kwenye profile ndo nimeamini...
Happy born Day Mkemia mkuu wa wanaharakati, Maninja na masistaduu woote...
God bless u,
Wishinq you a long and sucsessful Life,
Akina jje's Paprika geniveros LadyAJ venossah Valentina miss_blossom Njooni na maji pipa zima
swahiba haonekaniTeh teh...
Basi ngoja niongee na swahiba aje akuchukue eeh.
hahahhah Dada bana ukitaka vyakoSibaki hata kidogooo
[Blue]: roho ya husnaHappy born day my shem, kaka wa mie, roho ya Husna, rafiki ake Shunie, Swahiba wa mume wangu!!!! Mungu akupe miaka mia nane, nakupenda lakini nampenda babu zaidi, namzimia Shunie wangu.
Tukutane baadae kwenye Keki
Show ya wanaume hii wao wanabak nyumban kula cake sitak povu hapa mtulie hvyo hvyo
Keki maboga na tunakula wenyewmpk sasa cake haijulikan n wapi
Alipewa bani nn?Ndio mkuu
Anatoka kesho andaeni pilau ww na Husnat
Ndio nnachokupendea shemej yangymi kiroho safiiii
Bila shaka kanisikia
Baby Shunie anaulizia keki inakatiwa wapi..