Feliz couple ano :A S kiss:
Asante sana mkuu.
Kwa maana hiyo twakaa na kuishi jiji hili la chugga aka mabomu city hata siku moko usinijulishe kuwa nepi na mambo mengine tulianza the same date?
Haina maji chal'angu mungu akupe mvua za kutosha!
Happy Birthday Young Master.
Happy Birthday to you kijana wangu.@Young Master Mwenyeezi Mungu Akupe Afya na uzima na kila kizuri upendacho inshallah ameen.