Happy Birthday Young Master

A Birthday is just the first day of another 365- days journey around the sun, so far enjoy the trip !
May the best of your past be the worst of your future.
Judgement .
 

ha ha haaaa!!! Asante sana mkuu NasDaz...am sure hao wajukuu zako na vitukuu watanikuta hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
A Birthday is just the first day of another 365- days journey around the sun, so far enjoy the trip !
May the best of your past be the worst of your future.
Judgement .

Dah!!!! Asante sana bwana.
 
HBD man...
niko sekta nyeti...CAKE hii ndio shughuli yenyewe...
ukinchezea utaambulia toothpick @ALL

ha ha ha haaaa!!!! Umenichekesha sana mkuu kwa hiyo wakicheza wataambulia vijiti tu.
 
Haya kaka Hongera kwa kuzaliwa...............
Najkuonea wivu kweli unavyopendwa humu JF....................LOL

Wananipenda kwa sababu mimi bado kijana...nikizeeka kama wewe watanikimbia wote.
 
Ndo mana yake.
Na utajibeba mwaka huu.
Watu na bahati zetu.
Watu tuna nyota ya Mapacha,tukifatana tunafanana.
Sijui wewe mwenye nyota ya Punda kila siku Mateke.

Duh! Madame B hilo nalo neno
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…