Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
We nenda jikoni mm nitabaki kwenye vinywaji
Huko pia kunanifaa
Huko pia kunanifaa
bora hat section hii maan hataweza kudokoaWewe ukae kugawa chakula![]()
![]()
![]()
![]()
huku asilimia mia lkn vinywaj hapanaHuko pia kunanifaa
Sawa mi nitakuwa mgeni mtarajiwa nawasikiliza wenyeji
Sawa jirani anakuja huko maana naona vinjwaji vinaweza visitoshe kumbe wamemaliza wao




Hapana jamani mm vinywaji nina mimba nikiona mavyakula nitatapika
duuuhFanya hima ukhutyngoja nimwendee hewani sasa hivi looh sitaki kupitwa na vitu vya msingi mimi
hapa umefika halafu kamat yote tanga utakirimiwa vya kutoshaSawa mi nitakuwa mgeni mtarajiwa nawasikiliza wenyeji
Kuna Tashrifu ujue, lapitiliza hadi Duga Maforoni hiloumemuonaeee ajificha bure tu raha leo moja tu
ndo napashwa hapaFanya hima ukhuty
vitakwisha wallahHahaha kwa nn sasa
Mmmmh nijue hawa wanakati tanga sehemu gan maana wanaweza wakawa wa tanga sehemu inaitwa kabukuhapa umefika halafu kamat yote tanga utakirimiwa vya kutosha
umeonaee na ndo maan napingaHahahahaaa. Wageni waalikwa mtaishia maji na juice
Asante...aminia Mzigua itakua ni bak bandua, kata mti panda..........Kitengo cha vinywaji nitasimamia hapo kaka