Sante bibi
mzuri kwa party jana
tumekunywa,tumekula tukasaza
daaah maadui tukapatana
marafiki wakapendana zaidi..
sante na ubarikiwe
looking forward to next year again lol
Mungu akupe hekima,mafanikio,Amani,marafiki wa kweli ktk maisha yako,akuepushe na magonjwa,umaskini,tamaa zote za mwili na roho,akulinde na kukupigania daima,akufanye kichwa na wala si mkia,usiwe muombaji bali mkopeshaji.