Happy Birthday Vin Diesel

Hahahahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaa
wenziio wanapendwa kufuatwa wewe hupendi kufuatwa? Uko dunia hipi best?

Ila kwa upande mwengine ni kweli usipende watu wakufuate fuate saana kwa mambo yako


Nipo hapa hapa mtakuja.....umekuwa adimu sana ujue
 
hahahah mm nimekuwa adimu au wewe ndo umeadimika humu?

enewei tuachane na hayo ni mambo ya kazi yamenikeep busy bestito
ila tutafutane basi uko tz au nje ya tzjf?
Nipo hapa hapa mtakuja.....umekuwa adimu sana ujue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…