Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Heaven on Earth unaitwa huku mama watotoMkeo hajambo??
mimi nawapenda watabia kama yako hivyo hivyo
Vin Diesel mkeo mie mzima
Heee... mbona tena umemruka??? Yeye kakuita mama watoto unapaswa umjibu "Labekha baba watoto" wanawake wa siku hizi bana, adabu imeshuka eeh. Ngoja apate nyumba ndogo utaisoma namba!
Bazazi at work...............
Kimo kikizidi ntakimbiwa.....
Hahaaa mke na mama watoto mbona sawa
huyo nyumba ndogo ajipange..........,
Vin is all mine,Mine Alone
Vin Diesel mkeo mie mzima
Heee... mbona tena umemruka??? Yeye kakuita mama watoto unapaswa umjibu "Labekha baba watoto" wanawake wa siku hizi bana, adabu imeshuka eeh. Ngoja apate nyumba ndogo utaisoma namba!
Hahaaa mke na mama watoto mbona sawa
huyo nyumba ndogo ajipange..........,
Vin is all mine,Mine Alone
hautakimbiwa wala nini bali utafuatwa