Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Nitakutumia kwa mpesa cake.ya birthday
Usije ukanifanya nishindwe kulala mie kwa kuwazaaa.......
Happy birthday brother
Halafu ni tamu hiyooo....
Kama jina lakoi
Hadi mate yamenidondoka jamani!!!
Haaaaaa itafika kesho
Usiku mwema my dear
Mhhhh????
Niamini basi wangu
mimi nawapenda watabia kama yako hivyo hivyoMie langu jicho tu huwa sipendi kuongea
Hahahah.....ina maana urefu huu uliopo hujaupenda????????????
nimeupenda ila akukuze zaidi kimo kiifike cm 7.5 hivi
kwani wewe hupendi my dia?
Kimo kikizidi ntakimbiwa.....
Na wewe pia my darling
Hey dear...how are you