CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Wapi #TeamBazazi ???
Mentor, Asprin, mwekundu, Nicas Mtei & Co.....
Kuna mwenzenu hapa kazaliwa leo, sijui ni Katibu au mwenezi wa Timu...
Huyo ni mpelelezi wa Team.......!!
Huyo ni mpelelezi wa Team.......!!
Na wewe una cheo gani?
nadhani hujanielewa mkuu wa kaya ninaamanisha kimo (urefu wa mwili)
ila best sijakuelewa unamanisha nini wewe?
MH!!!!!?????
Urefu wa kimo...kwa vipimo vya 'inch' Hivi 7.5 inches ni sawa na sentimeta ngapi besti!???
mimi sina ,kwa sababu sina madhara
huna madhara ?????? wakati.............? hebu teamB kujeni hapa mtuambie kuwa huyu ana dhara lolote
cc: Asprin , KakaKiiza, Nicas Mtei , Mentor
:doh: :doh: