Happy birthday tuko

Happy birthday tuko

Jamani nawashukuru woote mlioniwish happy birthday...
Mungu awabariki sana...
 
Hbd mkuu....

Sioni wanaume kutoa hongera as much as wanawake
 
Tuko, Heko na hongera kwa kuongeza miaka kadhaa ya kukimbilia uzeeni..
Nashukuru Mungu huyu kwa kuzidi kukuongezea miaka zaidi ya kuendelea kuwa nami na member wote wa JF , kwa michango mbali mbali ya mawazo yako..natumai miaka inavyoongezeka na comments zako zitaongezeka..

Tunakutakia HERI YA KUZALIWA




Nakupenda much hun@Tuko

I,will promote this on the coming gazeti!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom