Happy Birthday To you

I like it.
HILI ANDIKO LIWEKEWE JARADA GUMU (LAMINATION) HALAFU LIWEKWE NDANI YA OFFICE ZA JFA.
 
Chapisha picha yake kwenye flana halafu livae ndani ya siku kadhaa vile.
 
Ilikua ni vigumu kiasi gani kumwambia ana kwa ana?
Since sa6 kamili usiku nlimwambia na nitaendelea kumwambia,. I just want him to feel special kwasabu ni msomaji mzuri pia wa JamiiForums akiingia leo aone
 
Kweli nimeamini watoto wa kike ni rafiki wa Baba zao

Mungu saidia na Mimi katika Uzee huu nilionao, nibahatike kabinti kamoja katika uzao wangu

Nije nifuge Mbwa wakali kwaajili ya Ulinzi wa bintiangu ajaye (Inshaallah) ili kuwakimbiza Vijana wa hovyo 😜

Heri ya siku ya kuzaliwa Kwa Baba yake na Leejay49

M/Mungu ampe maisha marefu yenye afya njema na mafanikio tele πŸ™πŸ™
 
Jamani weweπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…
Ndio!
Siyo kuvaa flana yenye picha mpaka akutwe na umauti,sasa hapo yeye ataonaje kuwa uko naye kila pahala? Ama mpaka na yeye awe Nasbu au Ali na pengine Messi ndio unafurahi kuvaa flana yenye picha yake ilihali na yeye akiona?

Tena hilo lingelikuwa upande wangu hizo picha ningeli weka kifuani na mgongoni,sitaishia hapo pia mitoko yangu ingelikuwa kule anakopendelea kucheza draft na jamaa zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…