sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
Word!!Hongera kwa familia mkuu..ila usisahau kuanza kujipanga sasa kwa ajili ya maisha ya baadaye ya watoto.. Akaunti za benki kwa watoto zipo kibao hata ukiweka shs 5,000 kila mwezi badala ya kununua vocha ya simu ni kumbukumbu tosha kuwa unampenda na kumjali mtoto!
asanta sana..dadaanguHongera sana kwa kuongeza idadi ya wanaume duniani.Ni furaha iliyoje kupata mtoto.
ni kweli mkuu..naahidi ntaufanyia kazi ushauri wako..Hongera kwa familia mkuu..ila usisahau kuanza kujipanga sasa kwa ajili ya maisha ya baadaye ya watoto.. Akaunti za benki kwa watoto zipo kibao hata ukiweka shs 5,000 kila mwezi badala ya kununua vocha ya simu ni kumbukumbu tosha kuwa unampenda na kumjali mtoto!
Wapendwa wana JF, napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha kuwa mke wangu mpnz amejifungua mtoto wa kiume leo alfajiri..hivyo basi naona fahari(najua mwanangu atakuwa ni mwana JF mzuri tu-sijui nini junior.. bila shaka tena kule kwenye science n tech forumz...tehe) na faraja kubwa kuwa baba, am so happy people..soo happy! I love you my wife.. I love you my son.. Mama na mtoto wako poa kabisa..so much Thanks to GOD! Ngoja nilale sasa maana nilikuwa macho ucku kucha kusubiria...thank you.