Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,221
- 5,618
Kwa member wote wa JF ;tarehe kama ya leo ; siku ya jumatatu majira ya saa mbili na nusu usiku miaka kadhaa iliyopita katika hospital ya mkoa wa Tanga (Bombo) ndio Mr. Tee Bag alizaliwa.
Kwa member wote na uongozi mzima wa JF nawatakieni heri ya Christmas na mwaka mpya wenye mafanikio.
Kwa member wote na uongozi mzima wa JF nawatakieni heri ya Christmas na mwaka mpya wenye mafanikio.