Happy Birthday to me

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
3,925
Reaction score
2,329
Ni siku njema sana ambayo Bwana ameifanya...karibuni wengine mliozaliwa siku kama ya leo tujumuike.

Kipekee niwashukuru JF ambao wamekuwa wakinitumia wishes kila mwaka tokea mwaka 2009 nilipojiunga JF rasmi!

Gwamahala.
 
Happy Birthday Gwamahala Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mkuu Gwamahala. Naona siku zako hapa duniani zinazidi kuyoyoma. Jiulize umepokea nini na umetoa nini kwa binadamu wengine..
 
Ni siku njema sana ambayo Bwana ameifanya...karibuni wengine mliozaliwa siku kama ya leo tujumuike.

Kipekee niwashukuru JF ambao wamekuwa wakinitumia wishes kila mwaka tokea mwaka 2009 nilipojiunga JF rasmi!

Gwamahala.


Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mkuu.
 
Happy birthday mkuu Gwamahala. Naona siku zako hapa duniani zinazidi kuyoyoma. Jiulize umepokea nini na umetoa nini kwa binadamu wengine..

Mkuu...yaani zinayoyoma si mchezo ndugu Rohombaya!
 
Last edited by a moderator:
Supposedly...! Nyani Ngabu hapo ndo tutajua sasa, coz "both" of you are invited.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…