Happy Birthday To Me

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,177
25 Nov 2013...Mwaka wa 3 JF as a verified user/member.. pamoja na vurugu zote sijawahi pigwa BAN... Invisible eeeeh piga mm BAN hata ya Cku mbili for d sake of my Birthday.
NAWAPENDA SANA SANA WANA JF
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mdogo wangu Rural Swagga, kwa kipindi sasa sijakuona hapa jukwaani. But I do believe all is well...

Mimi nikutakie heri na fanaka katika siku yako hii na maisha mengine mareeeeeeeefu yenye amani na furaha na baraka!

#i-will-b-there
 
Last edited by a moderator:
Ni birthday au jeiefu day?
Kwani ukipigwa ban inakuweje? Maana hata nami siijui ban.
 
Happy birthday mdogo wangu Rural Swagga, kwa kipindi sasa sijakuona hapa jukwaani. But I do believe all is well...

Mimi nikutakie heri na fanaka katika siku yako hii na maisha mengine mareeeeeeeefu yenye amani na furaha na baraka!

#i-will-b-there

Kaka Mentor nashukuru kwa kutokea kwenye bday dinner nyumbani kwa dada yangu kipenzi Heaven on Earth.Ilikua poa sana.hahahaha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…