..Thanx borda@Kaizer mambo vipihivi mimisa as a family tumemuandalia zawadi gani Kipaji HalisiSi unajua tupo bize sana siye wakubwa zako...Happy birthday kijana....uwe na siku njema
..Thanx sista RemmyHappy birthday Kipaji Halisi.Long live!
Mnatakana na Kipaji Halisi ?
.thanx wng..niaje ? mzima lkn?gadamn happy birthday my super handsome best...
ha ha ha
unamaanisha..Mnatakana na Kipaji Halisi ?
may b anakutaka na yeyekwani tatizo lako nini hapo?!?!?
kaitwa mwenzio umeitika wewe...je ukiitwa wewe Erickb52....?!?!?!
wivu nao upendo...Erickb52 keshanitibua na wivu wake! namtafutia dawa!
unamaanisha..
may b anakutaka na yeye
wivu nao upendo...
waoh..i like it...thanx so much..
Kipaji Halisi...naelekea uzeeni sasa..nakula chumvi tu