that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kwangu mimi that manzi ila daah 30 ile naichungulia pale
Nikiwaza sina A wala b sitamani hata kuongezeka umri
Anyways happy birthday to me

Nikiwaza sina A wala b sitamani hata kuongezeka umri
Anyways happy birthday to me


vipi amekununulia iphone 14??

