Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote kusikiliza wimbo wake mpya wa Gospo unaokwenda kwa jina la Mungu Baba.Pretty Kind amesema; “Bwana Yesu asifiw