Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,884
- 952
Leo ni siku maalum kwangu, ni siku ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru sana Mungu kunijaalia pumzi kuiona siku hii adhimu.
Naomba uendelee kunijaalia afya, hekima na busara niendelee kukutumikia...
Aaamin!
HAPPY BIRTHDAY TO ME

Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru sana Mungu kunijaalia pumzi kuiona siku hii adhimu.
Naomba uendelee kunijaalia afya, hekima na busara niendelee kukutumikia...
Aaamin!
HAPPY BIRTHDAY TO ME

Sent using Jamii Forums mobile app