Happy birthday to Me. (YOUNGBLOOD)

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
19,428
56,794
Habari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozaliwa siku kama ya leo.
Nawapenda sana wanaJF, tuendelee kupendana.
 
Happy Birthday Bosi, Mungu akupe maisha marefu ya busara na furaha.

BTW, ungemtumie PM Shunie kumwomba aanzishe yeye Thread ya Happy Birthday Youngblood ingebamba sana, tena unamkodi atumie hata ka neno my love, ingetisha sana.
Hahahaha
Alafu kweli,inabidi tufanye next time hii tayari imeshaharibika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom