Hakuna kitu kama hicho ulikuwa 50 sasa 51 uzee huoNdo nazidi kuwa kijana π
Hv 19XX maisha yalikuepo?Umezaliwa tarehe 21/04/199x π
Happy day to you
Happy birthday Real Mamy. Wewe ni mtu mwema.Najiombea mafanikio mengi zaidi katika maisha yangu.
π
Happy birthday mrembo wa JFπNajiombea mafanikio mengi zaidi katika maisha yangu.
π
1982 huyu engine kwisha hii...πUmezaliwa tarehe 21/04/199x π
Happy day to you