Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Nashkuru sana mkuu kwa kunikumbuka ni wewe pekee ndio umeniwishHappy birthday kwako mkuu
Usijali mkuu kuwa na Amani kabisaNashkuru sana mkuu kwa kunikumbuka ni wewe pekee ndio umeniwish
Grateful
Haoa ninekubali ni kweli mkuuUsijali mkuu kuwa na Amani kabisa
Furahia siku yako kwa furaha zaidi
Katika maisha sio wote watakukubali
Nashkuru sana mzee babaHappy birthday panchilo
[emoji1]
hahaha dah eti Panchi nani?Happy Birthday Dj Panchilicious 😀😀
Long happily life may you reign.
Msosi home kwa mama peter broMsosi wapi bro
Nashkuru sana Dada mzuri kwa kuniwishHappy birthday dear OP. More importantly, stay safe and stay healthy.
Asante sana mdada hapo kwenye pesa mingi nikizishika wa kwanza kuzitafuna uwe weweHappy birthday mkuu
Grow wise na pesa mingi
Nakubali sana mzee mkubwa. kwa kunisapoti hapa.Ishi sanaa Mkuu
Tupo pamoja Kiongozi 🥂Nakubali sana mzee mkubwa. kwa kunisapoti hapa.
Am grateful