Happy birthday to mapengo junior

Happy birthday to mapengo junior

mapengo junior

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,135
Reaction score
276
Mungu mkubwa leo hii nimetimiza miaka na mshukuru sana Mungu mama yangu mpenzi na pia nawashukuru sana wana JF wote ��06-06-198_ to 06-06-2015 happy birthday to me��

"Naomba watanzania wezangu mwaka huu uwe wa mabadiliko katika nchi hii"

Shukrani za pekee kwa moderators wa JF

Karibu useme neno
 
happy birthday,live loong live rich live happy
 
Wekamo kariwaya kusherekea mkuu.by the way happy birthday
 
All the best mkuu, Allah is great. Happy born day Mapengo Junior
 
happy birthday .Mungu akuzidhishe miaka mingi ya maana humu duniani.
 
Japo umetunyima ubwabwa

Jana nilikuwa na usaili PPF wa hovyooooo kweli Saa tisa tumeingia kumi nambili na robo😰😰😰😰😰 Wameharibu siku yng ya kuzaliwa hata keki sijala Mahana jr
 
Jana nilikuwa na usaili PPF wa hovyooooo kweli Saa tisa tumeingia kumi nambili na robo😰😰😰😰😰 Wameharibu siku yng ya kuzaliwa hata keki sijala Mahana jr

Loh but yote ni baraka kikubwa pumzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom