Happy Birthday tangopori!

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Wakuu!
HappyBirthday to me!
Leo nimefikisha miaka kadhaa ya kuwepo hapa duniani!
Namshukuru sana Mwenyenzi Mungu kwa kunifikisha hapa na pia ninayo furaha kubwa kuwashirikisha na ninyi wanaJF!
Tyta njoo wawekee picha!
 
Last edited by a moderator:
Waooo mkuu Tangopori,,happy birthday!Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na Mafanikio tele!

Ninaapriciate sana uwepo wako hapa JF hasa linapokuja suala la "Weka picha"!Long life mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu!
HappyBirthday to me!
Leo nimefikisha miaka kadhaa ya kuwepo hapa duniani!
Namshukuru sana Mwenyenzi Mungu kwa kunifikisha hapa na pia ninayo furaha kubwa kuwashirikisha na ninyi wanaJF!
Tyta njoo wawekee picha!
tuwekeepicha yako hapa bc tangopoli vilevile ni miaka mingapi umefikisha au ni siri kidogo kaka
 
Last edited by a moderator:
happy bday mkuu

sio yeye pekee ngoja na mimi nikuwekee kapicha

keki congraturate.jpg
Wakuu!
HappyBirthday to me!
Leo nimefikisha miaka kadhaa ya kuwepo hapa duniani!
Namshukuru sana Mwenyenzi Mungu kwa kunifikisha hapa na pia ninayo furaha kubwa kuwashirikisha na ninyi wanaJF!
Tyta njoo wawekee picha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom