happy birthday sweetlady!!!!!


Nahisi wewe ni kiongozi wa tiefef maana wale jamaa kwa fitna mwisho.
 
ha haaaaaaaaa, hii imenikumbusha enzi hizo tupo sekondari kulikuwa na pen-pal, bwana watu walikuwa wakipata pen-pal si wanadanganya bday,i.e. wanataja miezi miwili ijayo ili wapate card na zawadi...........
my wii wa ukweli sweetlady, njoo huku ututhibitishie hili maana mimi na pacha wako my one and only TANMO tunataka kuanza maandalizi ya bday hii haraka sana
 
Last edited by a moderator:
ni furaha iliyoje kusherehekea siku ya kuzaliwa mpendwa wetu sweetlady!
Happy birthday sweetlady,
Happy birthday sweetlady,
Happy birthday dear SL,
Happy birthday to you,
Many happy returns for you lovely SWEETLADY!!!!!!!!!!!!!!!!!

Shemu nashukuru sana ......yaani sijutii kamwe kuwa mke wa mdogo wako nitonye
Bishanga for real sina maelezo mengi ila wewe mwenyewe wajua vile nimefurahi kutoka uvunguni mwa moyo wangu!......mdogo wako kanipa ruhusa niku :busukwa leo tu! Barikiwa sana shemeji langu la ukwee!
 
Last edited by a moderator:

Naona Wakuda wamemshtukia Pacha 'angu,, Ila kwa jinsi ninavyomwamini Pacha wangu hawezi fanya huu Usanii...
 
Happy Birthday Sweetie.
Wapi Kamati,
Wapi Ukumbi.

HAPPY BIRTHDAY sweetlady mamito.

Ahsante sana Madame B.....kamati atakuja kuitangaza wifi langu AshaDii.......sherehe inafanyika bukoba vijijini.....ila usijali shemeji Bishanga kajitolea jet lake kwaajili ya kuchukua watu kutoka nje na ndani ya tanzania......mie bado nipo huku ukweni mwenzio!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday sweetie
Happy birthday
Happy birthday
Happy birthday to you,
naomba niwe kamati ya kukaribisha wageni mana kuna nataka kuwazuia mlangoni mana wanaweza kuharibu sherehe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…