Najisikia furaha sana kwa first born wangu kutimiza mwaka mmoja
Namtakia maisha mema na yenye mafanikio tele.
kwa wale mlionitangulia kupata mtoto na ambao nimewatangulia wote kwa pamoja nawapongeza sana na hata kama huna mtoto usikate tamaa one day utampata.
Hongera mkuu kwa kujaaliwa hilo. Mungu amkuze mtt na ampe afya njema. Awe na tabia njema, akili nzuri na sababu ya furaha yenu wazazi wake. Awe stara yenu na awe mwenye kumpenda Mungu wake na dini yake. In sha Allah. Ameen