Happy birthday Rogie !!!!!

Honey Faith nitumie DHL kwenye address hii hapa
Street Address: 64 Newman Street.
City: London.
Country: United Kingdom.
Postal/Zip Code: W1T 3EF.

Wewe itabidi tukuagizie huko huko special kwa ajili yako maana uko mbali.My dia Rogie hebu njoo hapa tushauriane
 
Last edited by a moderator:
nasubiri kuulizwa.........hapa nshakunywa mayai mabichi.......


Happy birthday Rogie...........wish you happy life!!!

Ahsante sana. Umepotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Karibu dear, nipo sana tu mbona. Sema labda hatugongani humu mara kwa mara.

Ahsante sana mamii. Nahisi hatugongani hivyo imekuwa ngumu huyu mtu yupo au lah.
 



Oooohhh... Ulikosea ID yangu ndio maana sikuona hii notification. Any way ngoja nimtafutie brother zawadi...
 
Last edited by a moderator:
Japo nimechelewa, sina budi kukupa belated happy b.day besti wangu. Allah akuongezee umri mrefu zaidi na amali njema zaidi. Amin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…