Mara ya mwisho nilisikia jamaa alikua anamtreat vibaya na kipigo, hivyo mwanamama alitaka kumshitaki mahakamani badae akamua kumpotezea kwa ajili ya mtoto.
Kafikisha miaka mingapi huyu mkali wa kufanya Vizuri kwenye game za hippop, yaani akishirikishwa kwenye viitikio utasema Ngoma niyakwake hasa ile Ngoma ya tapout richgang