Happy birthday prof. Janabi

Aondoe kwanza parking fees MNH, haiwezekani mtu una majanga ya kuuguza, then ulipie fees kila unapoenda kwa mgonjwa wako .

Happy birthday kwake.
 
juzi juzi alisema msinywe maji mengi kupita kiasi bila sababu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nipo nawaka time hii na mitungu na Hana cha kunifanya πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Si alisema msidhidishe bia mbili?!!
 
Katibu Mkuu Mteule CCM
 
Kila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa...
 
Umri ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…