Happy Birthday nameless girl

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Tarehe kama ya leo uliingia duniani. Sina mengi ya kusema nikutakie Maisha Mema katika kutimiza uliopangiwa hapa duniani. Happy birthday Dear Friend

IN LIFE

IN SCHOOL

IN FOOD DON'T FORGET

IN LOVE

^^
 
Haka kabinti kamefikasha miaka kumi na ngapi?

Kakikuja hapa tafazali kaambieni babu yenu ODM nlipita hapa na kukatakia heri ya siku ya kuzaliwa.

Msisahau kukaambia nimesema kasiache kutumia kondom kwa kuwa nimechoka kuzika wajukuu na kulea vitukuu visivyotarajiwa.
 

Hahahaaaaa Happy bday to you too babu...
Njoo kwenye kigodoro cha besidei yangu hapa home tandale kwa mfuga mbwa, ntakwambia nina arobaini na ngapi babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…