Happy birthday mzizi mkavu

Happy birthday MziziMkavu hapa najiandaa kutega popo nimchinje nimuweke chini ya mto ile dawa yetu ile.....
 
Last edited by a moderator:
Hongera kijana ....Uko chimbo (nchi ) gani nitafute ungo wangu nipae kutoka milimani kwetu nihudhurie mwaliko huu??
Sehemu niliyopo mimi huwezi kufika ni machimbo Heavy na hawezi kufika binadamu yoyote ile ila mimi tu. Nipo kwenye Machimbo ya Ufo nipo na Viumbe Ufo angalia hapo chini



Ndege ya Ufo hiyo.



Viumbe hao Ufo wenyewe.



Ndege yetu hii hapa nina Chat na wewe nipo ndani ya ndege.
 

Attachments

  • Moonbeam_UFO.JPG
    277.7 KB · Views: 66
  • UFO-EARTHLINGS.jpg
    44.3 KB · Views: 54

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…