Hahahahaaa. Mwenye shape Sanchoka mkwe. Ujanja ujanja gani tena mkwe?? Utaniharibia kwa mchumba angu humu mkweHbday mkwe wangu!nakupenda haswaa my dear!uzidi kubarikiwa kila wa Leo my dear!mtu mwenye shape lake mjini!!!
Ila mkwe punguza ujanja ujanja
Hakuka mkuu tunalisongesha gurudumu la burudani humu..Mkuu naona uwajibikaji unaendelea
Mi sina shida na wewe lakiniWe vipiii ebu niache napokea zawadi
Bro Iceman sijamsoma.Hakuka mkuu tunalisongesha gurudumu la burudani humu..
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Thank you wakunyumba wangu. Jana nlitaka nikualike karaoke 777 ila ndo vile mambo yakawa ndivyo sivyo. Nakupenda pia ndugu yangu.
P.S. zawadi za hela zinifikie
Iceman kawa bidhaa hadimu sana hapa mjini kila mtu anamtafuta bila mafanikio sasa tuache tu siku akiwa fresh atakujaBro Iceman sijamsoma.
Okey!!Kuanzia laki kuendelea
Tunagombania na nani tena sijaona uzi chit chat mie
Undugu na hela NO NO NOHata nikikuzima mm ni ndugu yako ujue hakiharibiki kitu