Happy birthday Mzigua90

Nialikeni huko nije. Ila nitaondoka na mzigua nikampe kash kash
Two stand night
 
Happy Birthday cute Mzigua.... Uwe na Maisha marefu na yenye furaha tele.
 
Usijali kuwa na amani
Hakuna km kitu sipendi km kumuudhi MTU,au nifanye kitu MTU atafsiri tofauti ,hasa akiwa mtoto wa kike ,hasa humu mitandaoni,dah asee nahisi nimekosa sana ,ngoja nibaki msomaji
 
Umeona sasa unapenda kukuza vitu aisee usiwe hivyo
Hakuna km kitu sipendi km kumuudhi MTU,au nifanye kitu MTU atafsiri tofauti ,hasa akiwa mtoto wa kike ,hasa humu mitandaoni,dah asee nahisi nimekosa sana ,ngoja nibaki msomaji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…