CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kaizer huko level 9 naruhusiwa kujaHaooy birthday ram! baadaye level 9 pale kama kawaida! au sio charminglady!
Haooy birthday ram! baadaye level 9 pale kama kawaida! au sio charminglady!
Glory to God!
Jamani nawashukuruni wote kwa kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa, sifa na utukufu apewe Mungu aliye juu, ni kwa neema tu hata sasa niko hai.
Kipekee namshukuru mamangu kwa kunileta dunia tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita, amenilea na kunikuza vema hata sasa nami naitwa mama. Ahsante mama, Mungu aendelee kukupa pumziko la amani huko ulipo......amen!!!!
Ahasnteni sana wana JF kwa ujumla na kipekee JF Rcky City wing, Mungu awabariki sana
EBENEZER........