Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,428
Pimbi wewe, waache watu wafurahie uumbaji,wewe umechakata mabinti wa wenzio kisha wako unajifanya kumbana banaUna akili za kizaramo kabisa, Ila pole
Pimbi wewe, waache watu wafurahie uumbaji,wewe umechakata mabinti wa wenzio kisha wako unajifanya kumbana banaUna akili za kizaramo kabisa, Ila pole
Naona baba mkwe kageuka mbogo!
Pimbi mwenyewe 👿👿Pimbi wewe, waache watu wafurahie uumbaji,wewe umechakata mabinti wa wenzio kisha wako unajifanya kumbana bana
Mimi sio mmoja wao Chief. Mimi lazima nivute jiko, tupike na kupakua. Punguzeni hasira Mkwe!Ninyi team kataa ndoa hamna aibu shida yenu mzalishe binti zetu halafu mtokomee sasa ni mwendo wa kushauri watoto wetu tumewastukia washenzi sana ninyi



Siuzi binti, kwa nini nicheke na wahuni?
Naona baba mkwe kageuka mbogo!
Sasa mbona umekuja kumtangaza huku?Ushindwe na ulegee, unataka picha ya nini?
Binti yangu hauzi sura kijana 🗯️🗯️
Nimemuweka sawa leo, hakuna mlango wa bazazi yeyote kuchezea Atu wanguKwamba kuna njemba itakubali isizagamue mpaka ndoa,??
Ni ushauri mzuri ila linapokuja suala la mapenz na masuala mazima ya mizagamuo, binti sijui kama atachomoa.
Jitahidi kumuombea mzee wangu mabazazi tupo wengi huku mtaani.
Lazima tuyatokomeze hayo mashetaniNinyi team kataa ndoa hamna aibu shida yenu mzalishe binti zetu halafu mtokomee
Lazima tuyatokomeze hayo mashetani
Huu ushauri hauwezi kumsaidia binti yako?Sasa mbona umekuja kumtangaza huku?
Si ungemute tu anko, ukamwita mtoto sebleni ukampa hii risala?
Sawa anko, imezingatiwa hiyo.Huu ushauri hauwezi kumsaidia binti yako?
Nimeuweka hapa makusudi ili atakayeona unamfaa bintiye basi achukue na ampelekee.
Wazazi wengi ni wavivu sana kushauri binti zao.
Huu ushauri hauwezi kumsaidia binti yako?
Nimeuweka hapa makusudi ili atakayeona unamfaa bintiye basi achukue na ampelekee.
Wazazi wengi ni wavivu sana kushauri binti zao.
Hongera kwa kuyastukia mapemaassey eti mimi mkorofi kumbe yalikua yanamendea binti yangu,
Na iwe hivyoSawa anko, imezingatiwa hiyo.
Umewahi kumshauri binti yako na akashindwa kuzingatia ulichomshauri?Sidhani kama atazingatia hayo tena ndio yuko 18 age mbaya kbsa always wanataka kujaribu kila kitu
Baharia anayeunganishiwa mke huyo ni zoba, acha kufuga mazobaKuna kijana wangu hapa, ni kabaharia naomba tuunganishe ukoo mkuu