Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Ushindwe na ulegee, unataka picha ya nini?Shikamoo baba mkwe
Picha yake basi
Nipo singo
Baba mkwe,Binti yangu kipenzi my second born Atu, amefikisha miaka 18 leo . Sijawahi kujisikia mzee kwa umri wangu huu wa nusu karne.
Katika sherehe yake, nimemwambia mambo matatu tukiwa tunakata keki ya siku yake ya kuzaliwa.
(Ufuatao ni ushauri wangu kwa binti yangu, hivyo sikushauri na wewe umshauri binti yako kama nilivyomshauri binti yangu Atu kwa sababu pengine ushauri wangu waweza kuwa wa kizamani sana kwako) .
"My daughter chukua haya mashauri yangu matatu kwako,,,,,,,"
1.kataa ngono hadi usiku wa harusi yako.
Kuna wanaume wengi tu wenye sura nzuri leo lakini usimwaamini yeyote nyuma ya milango iliyofungwa.
Kutana na atakaye kuchumbia katika maeneo ya umma. Hakikisha unafuata maadili yote . Kuchumbiana ni fursa ya kukusanya data kutoka kwa huyo mchumba wako.
Mjue vizuri. Ni rahisi kupona kutoka kwa uhusiano uliovunjika ikiwa haukuwa wa karibu. Ijue familia yake. Mlete nyumbani. Wavulana wabaya huwaepuka wazazi. Huyo mchumba wako ikiwa hawezi kuniheshimu mimi baba yako, nawe hatakuheshimu.
2. Usihatarishe masomo yako. Elimu inakupa chaguzi. Muda wako ni mdogo. Usifuatilie kila sherehe huko chuoni. Maisha yana chaguzi zisizo na kikomo. Uchaguzi na umakini ni mchezo wa washindi.
3. Mfanye Mungu kuwa kipaumbele chako cha kwanza. Anza siku yako kwa maombi na kusoma maandiko. Wacha mduara wako wa ndani uwe wanafunzi wenzako wa jinsia yako wanaomcha Mungu katika roho na kweli. Upendo wa kweli, furaha na utimilifu hutoka kwa Mungu. Mungu ndiye mtetezi wako.
Ubarikiwe sana binti yangu kipenzi.
We si ni team kataa ndoa, umekuwa mkwe wangu tangu lini?Baba mkwe,
Wewe ni miongoni mwao machalii wanaoamini kuwa hakuna mabinti bikira?Ila kuhusu kukataa ngono, sijui kama umehakikisha kuwa ni bikra bado. Kama ndio basi ushauri juu ya hilo unamfaa.
Hujapokea pongezi zangu Baba mkwe[emoji23]We si ni team kataa ndoa, umekuwa mkwe wangu tangu lini?
Ulilipa mahali?Hujapokea pongezi zangu Baba mkwe[emoji23]
Kwan ww umelipia kuwa humu au kuandka hii nyuz?Ulilipa mahali?
Salamu na pongez hazitiii mimba, kuitwa Baba mkwe ni heshima tu sio kila atakayekuita atakuwa mkwe wakoUlilipa mahali?
Mashetani wenye mawazo kama yako ndio wanaosababisha wanaume wakatae kuoa.Unajua ataolewa lini mpka umumbie akatae, acha ushamba mkuu, katika vitu unatakiwa umuachie binti yako ni ujuzi
Ulisikia wapi kuwa kuna free bando hapa jf?Kwan ww umelipia kuwa humu au kuandka hii nyuz?
Nyamaza!Salamu na pongez hazitiii mimba, kuitwa Baba mkwe ni heshima tu sio kila atakayekuita atakuwa mkwe wako
Narudia tena huna akili, mtoto anavunja ungo ana miaka 12 anakutana na wa kumuoa ana miaka 25, unajua ni miaka mingapi hiyoMashetani wenye mawazo kama yako ndio wanaosababisha wanaume wakatae kuoa.
Nitakulaani iwapo hutamtakia heri binti yangu 🗯️
Una akili za kizaramo kabisa, Ila poleNarudia tena huna akili, mtoto anavunja ungo ana miaka 12
Amen and amen! 😘Hongera Sana.
Happy birthday to her..Mungu wetu aliyemwema azidi kumjazia baraka na neema maisha mwake.
❤️