Happy birthday @Munkari

uuuwiiii


saanteee
@ valentina
na mumeo kwa baraka hizi
Muunguu awape uhaiii milele na daima na ndoa yenu idumu miongo na miongo haata ka mnachepuka msikamatane bali mchepuke polepole hahahah

mbarikiweeee!!!!!

Uuwii hapo kwenye kuchepuka sasa ndio ishu. Rubi kashaniweka roho juu apa
 
Last edited by a moderator:
Mwl Munkari hepi besdei tuyuuuuuuuu....hepy besdeiii tuyuuuuuuu....haw oldaaaaa yuuuuuu aaaaaa?(kuimba kote hata maji hamnipi)....hahaaaa heri ya kuzaliwa!msalimie babu mlinzi

hahahahahahh
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mke mwenza.Kwa kutambua umuhimu wa siku yako ya kuzaliwa namruhusu hubby kwa leo aje kwako japo sio zamu yako.


Cc Rogie
hahahah

asante mke mwee
unaroho mzuri sana sikujuaaaa!!
hahahh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…