Hako katoto kapo wapi?
Birthday wishes to you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia heri ya kuzaliwa leo................
Mungu akupe maisha marefu akupe uhai uishi miaka zaidi ya hii unayotimiza leo
Uwe na siku njema na usherekee salama...........
Happy Birthday my Brother Mohamed Shossi
Dada yako DA
Ahsanteni sana wakuu Kabakabana,mwaJ,Husninyo,Mamndenyi,Katavi,Kongosho,ndetichia,Goodnes,afrodenzi,FirstLady1 na Dena Amsi nimefurahi sana kujua upendo wenu juu yangu, afrodenzi nipo masomo yananibana ndugu yangu si unajua kitabu cha utu uzimani?.
Hepi besdei ya nini kwanza huyo mtu siyo active memba humu siku hizi acheni kujipendekeza.
Mi mbona besdei yangu imefika lakini hamniandiki.