Miaka kadhaa huko nyuma mtoto wa kiume alizaliwa na kwa uwezo wa Mungu hadi leo anaendelea kupumua,happy bday to him.
Namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipofika,mama yangu and my late father,ndugu na friends wote especially Jamii Forums. Naitumia siku ya leo kutafakari maisha yangu huko kote nilikopitia,kubwa zaidi nililopanga ni kuendelea kufanya mchakato wa kubadili maisha yangu,yawe mazuri zaidi kimwili na kiroho.Amani na upendo,kusimamia haki na demokrasia,ukweli na uwazi daima vyote viwe nguzo imara katika maisha yangu.Thanks again wana JF kwani tangu nimejiunga hapa 2008 nimejifunza mengi sana na nimetoa yangu japo bado nadaiwa zaidi. ALL THE BEST washkaji.
Cc. Invisible Madame B Arusha one MziziMkavu , Ben Saanane ZeMarcopolo Bishanga Passion Lady Erickb52 Baba V...na @wadau wengine wote
Hongera sana kaka,
Haya tutajie mvua ngapi umevuka ili tuhesabu mishumaa.
Hepi bethdei tu yuuuuuuuuuuuu...
Duuuuuuuh! Nyingi nyingi tu,mama aliniambia nisipende kuwatajia watu umri wangu,sio kila mtu wa kumwamini,aliniambia bongo wachawi wengi. Eti Passion Lady na Baba V ,ni vizuri kutaja umri wako hadharani?
Happy Birthday Ray, Mwenyezi Mungua akujaalie uwe na maisha yale unayo strive kuwa nayo pamoja na maisha marefu. Hongera sana kwa kusongesha mwaka.
Duuuuuuuh! Nyingi nyingi tu,mama aliniambia nisipende kuwatajia watu umri wangu,sio kila mtu wa kumwamini,aliniambia bongo wachawi wengi. Eti Passion Lady na Baba V ,ni vizuri kutaja umri wako hadharani?
happy birthday my dearest
happy b'day mkuu........vyuku vinaliwa wapi?
Unataka kula kuku wakati huna zawadi,njoo na keki hiyo au hata nepi kwa mtoto.