johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Siasa Siyo uadui
Happy birthday Mdude Nyagali Chadema πΉπΉ
Wewe ni mzima? πΌHuyo mdude ni mgonjwa wa akili
Inategemea umekaa pembe gani ya nyumba wakati unamsikiliza.Huyo mdude ni mgonjwa wa akili
Wagonjwa lazima mjuane maana hua dawa mnachukua pamojaHuyo mdude ni mgonjwa wa akili
Unaweza kutumia kama mbolea.Takataka
Wivu mwingine bhana ππTakataka
Ndesa au? πΌyule aliyelala chato.ana tamani aamke akiona hii post
Mbona mlimteka na kumuumizaSiasa Siyo uadui
Happy birthday Mdude Nyagali Chadema πΉπΉ
Takataka
Jamaa anayaonea wivu matusi ya Mdude.π€£π€£π€£Wivu mwingine bhana ππ
Walimuumiza wapi yeye alivoeleza , nyuma, mbele au wapi hasa
Alikua anarekebishwa afya ya akili.
Watekaji wapo hapo Ufipa st akina Malya wa Mbande- Njia Panda ya Mpwapwa
Chato kaburi lipo moja tu.la yule aliyekuja mjini kwa fujo.wakamrudisha kwao na jenezaNdesa au? πΌ
Hivi jamaa alikufa?Ndiyo natokea Intonjanda narudi mjini.Chato kaburi lipo moja tu.la yule aliyekuja mjini kwa fujo.wakamrudisha kwao na jeneza