Japo babu mechelewa, Heriye kukutakia,
Mbaya bado haijawa, Shairi kukuimbia,
Ni sikuyo maridhawa, Mola amekujalia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa.
Umekuja duniani, Uzuri kuniletea,
Hakika u namba wani, furaha kunigaia,
Ubarikiwe nyumbani, Na kote wapopitia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa
Uishi daima dumu, Maisha yenye amani,
Maisha yaso magumu, Raha tele maishani,
Wema wako na udumu, furaha tele moyoni.
Babu nakukaribisha, Tunywe mvinyo pamoja.
Na Babu Asprin (Big Braza ODM)
Kaunta ya Juu King Star kwa Mwanandio
Boko Daslam.
CopyRight Reserved
Pole sana Maty kwa kuongeza Umri na kupunguza miaka ya kuishi Duniani:A S 13:
Kimey anataka kujifanya ROSTI TAMU (ROSTAM)Jamani mkoloni kaniminya siku muhimu kama ya leo kimey katukuu ndi katakua kanasevu vinywaji nahofia finest anaweza badili badala ya yule amjuae akageuza kibao lol
Japo babu mechelewa, Heriye kukutakia,
Mbaya bado haijawa, Shairi kukuimbia,
Ni sikuyo maridhawa, Mola amekujalia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa.
Umekuja duniani, Uzuri kuniletea,
Hakika u namba wani, furaha kunigaia,
Ubarikiwe nyumbani, Na kote wapopitia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa
Uishi daima dumu, Maisha yenye amani,
Maisha yaso magumu, Raha tele maishani,
Wema wako na udumu, furaha tele moyoni.
Babu nakukaribisha, Tunywe mvinyo pamoja.
Na Babu Asprin (Big Braza ODM)
Kaunta ya Juu King Star kwa Mwanandio
Boko Daslam.
CopyRight Reserved
Ahaaa ahaaa Mallaba huyu mzee ameishashindikanasasa naona Aspirin umekuja kwa mkwara mzito wa utenzi na vina.
du I like ur style diversity
Japo babu mechelewa, Heriye kukutakia,
Mbaya bado haijawa, Shairi kukuimbia,
Ni sikuyo maridhawa, Mola amekujalia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa.
Umekuja duniani, Uzuri kuniletea,
Hakika u namba wani, furaha kunigaia,
Ubarikiwe nyumbani, Na kote wapopitia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa
Uishi daima dumu, Maisha yenye amani,
Maisha yaso magumu, Raha tele maishani,
Wema wako na udumu, furaha tele moyoni.
Babu nakukaribisha, Tunywe mvinyo pamoja.
Na Babu Asprin (Big Braza ODM)
Kaunta ya Juu King Star kwa Mwanandio
Boko Daslam.
CopyRight Reserved
hahahaha ni nini kufukua makaburi lakinihappy birthday
hahahaha tunajaribu tuuuhhahahaha ni nini kufukua makaburi lakini
halafu ni may s octoberhahahaha tunajaribu tuuuh